KENYA

foto scattate nell'ottobre 2003
Jambo Bwana
Jambo, jambo bwana, habari gani, mzuri sana.
Wageni, wakaribishwa, kenya yetu hakuna matata. (2x)

Kenya nchi nzuri, hakuna matata
Nchi ya kupendeza hakuna matata.
Nchi ya maajabu hakuna matata.
Nchi yenye amani, hakuna matata.
Hakuna matata, hakuna matata.